Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Awasili Nchini Niger

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA).(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

223 thoughts on “Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Awasili Nchini Niger

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama