Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Menejmenti ya Ofisi Yake Jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao cha kazi ikiwemo Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Mazingira, kikao hicho kimefanyika leo Octoba 05,2019 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma.

13 thoughts on “Makamu wa Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Menejmenti ya Ofisi Yake Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama