Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais Azindua Maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua rasmi na kutembelea maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa  jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

100 thoughts on “Makamu wa Rais Azindua Maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama