Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akishiriki katika mkutano wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ Troika Summit) pamoja na Jamhuri ya Msumbiji na nchi zinazochangia vikosi katika jeshi la utayari la SADC lililopo nchini Msumbiji. Januari 11,2022 Lilongwe Malawi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango tarehe 11 Januari 2022 akiwa nchini Malawi alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Organ Troika Summit) pamoja na Jamhuri ya Msumbiji na nchi zinazochangia vikosi katika jeshi la utayari la SADC lililopo nchini Msumbiji.
Akifungua mkutano huo, mwenyekiti wa Troika ambaye pia ni Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesisitiza umuhimu wa kuiunga mkono Jamhuri ya Msumbiji katika mapambano yake dhidi ya mashambulizi ya kigaidi yanayoendelea katika Jimbo la Cabo delgado Kaskazini mwa Msumbiji.
Pages: 1 2
Regards, A lot of content!
essays on the movie the help essaytyper help with writing personal statement
You actually suggested this very well.
how to write a summary of an essay essay writer mba thesis writers