Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais Akutana Na Balozi wa Uholanzi na Mwakilishi wa Unicef Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana naMwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Nchini Bibi. Maniza Sultana Zaman wakati Mwakilishi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Mpya wa Uholanzi Nchini Bw. Jeroen Verheul wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo April 24, 2019 kwa ajili ya kujitambulisha.

179 thoughts on “Makamu wa Rais Akutana Na Balozi wa Uholanzi na Mwakilishi wa Unicef Nchini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama