Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais Ahitimisha Ziara ya Kikazi Mkoani Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Kigoma kuhakikisha kero zote zilizoibuliwa wakati wa ziara yake zinapatiwa ufumbuzi wa haraka.

Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa majumuisho ya ziara yake ya kikazi ya siku nne alioifanya katika mkoa huo ambapo amewaagiza kutenga siku maalum za kuwasikiliza wananchi na kutatua changamoto zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama