Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Azungumza na Mabalozi wa Finland na Switzerland Nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Finland nchini, Mhe. Pekka Hukka kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Finland nchini, Mhe. Pekka Hukka, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Switzerland nchini, Mhe. Florence Tinguely Mattli kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini, Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama