Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).
Majaliwa Azindua Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mashindano ya Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Umoja wa Michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, Agosti 4, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Fazal Mohammed kutoka Tanga ambaye ni mchezaji wa mpira wa wavu wakati alipozindua Mashindano ya Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Umoja wa Michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, Agosti 4, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wakishuhudia maandamano ya washiriki wa Mashindano ya Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Umoja wa Michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakati alipozindua mashindano hayo kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, Agosti 4, 2022. Kulia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul, wa tatu kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, David Silinde na wa nne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi, Dkt. Batilda Burian