Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Atembelea Shamba la JKT Rwamkoma Wilayani Butiama

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakati alipotembelea shamba la kuzalisha mbegu bora ya mhogo aina ya mkombozi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ya Rwmkoma wilayani Butiama, Januari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama shamba la Pamba wakati alipotembelea shamba la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lililopo Rwamkoma wilayani Butiama Januari 20, 2018. Shamba hilo pia linazalisha mbegu bora za mhogo aina ya mkombozi.

112 thoughts on “Majaliwa Atembelea Shamba la JKT Rwamkoma Wilayani Butiama

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama