Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Atembelea Makumbusho ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo uliokuwa unatumika kwenye mawasiliano ya simu hapo zamani wakati alipotembelea makumbusho ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) yaliopo kwenye jengo la EXTELECOMS Jijini Dar es salaam, Agosti 3, 2019. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba na Kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa TTCL Laibu Leonard.

5 thoughts on “Majaliwa Atembelea Makumbusho ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

 • August 10, 2020 at 10:37 pm
  Permalink

  Hola! I’ve been reading your website for some
  time now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout
  out from Lubbock Tx! Just wanted to say keep up the great
  work!

  Reply
 • September 5, 2020 at 9:09 am
  Permalink

  Please let me know if you’re looking for a article author for your weblog.
  You have some really good posts and I think I would be a good
  asset. If you ever want to take some of the load off, I’d absolutely love to write some articles for your blog in exchange
  for a link back to mine. Please send me an email if interested.
  Kudos!

  Reply
 • May 20, 2021 at 5:30 am
  Permalink

  free dating websites for older people
  [url=”http://allfreedatinghyp.com/?”]new free dating site 2021[/url]

  Reply
 • May 27, 2021 at 2:53 am
  Permalink

  free african american online dating
  [url=”http://allfreedatinghyp.com/?”]free online dating single[/url]

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama