Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Ashiriki Katika Mazishi ya Kaka Yake Mzee Bakari Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na baadhi ya viongozi walioshiriki katika mazishi ya marehemu kaka yake, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa , Novemba 6, 2019. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Venance Mabeyo na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani.

Mke wa Waziri mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwa na Kamishina Jenerali wa Uhamiaji , Dkt, Anna Makakala (katikati) na katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge (kushoto) katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirika katika sala ya kumwombea marehemu kaka yake, Mzee Bakari Majaliwa iliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitupa udongo kwenye kaburi la kaka yake, Mzee Bakari Majaliwa katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali, Venance Mabeyo (kushoto), Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani (kulia) baada ya wote kushiriki katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee, Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika sala ya kumwombea marehemu kaka yake, Mzee Bakari Majaliwa iliyofanyika nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019. Wa pili kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Simon Siro katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee, Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee, Bakari Majaliwa yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala katika mazishi ya kaka yake Waziri Mkuu, Mzee Bakari Majaliwa yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

23 thoughts on “Majaliwa Ashiriki Katika Mazishi ya Kaka Yake Mzee Bakari Majaliwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama