Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani- Mtwara

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alphayo Kidata wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona. Oktoba 1, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa wakipokea maandamano ya Wazee katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019.

Wazee wakiandamana katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa .

Mmoja wa wazee waloishirki katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia katika Maadhimisho hayo, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

235 thoughts on “Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani- Mtwara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama