Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Ahudhuria Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania – Mjini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phillip Mangula wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba leo. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

50 thoughts on “Majaliwa Ahudhuria Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania – Mjini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *