Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Afungua Maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe, Machi 5, 2020. Wa tano kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa pili kushoto ni Mbunge wa Korogwe Mjini , Mary Chatanda, wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na wa sita kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kissa Kasongwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe baada ya kuifungua Machi 5, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Ualimu Korogwe baada ya kufungua maktaba ya chuo hicho, Machi 5, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitabu baada ya kufungua maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe, Machi 5, 2020.

211 thoughts on “Majaliwa Afungua Maktaba ya Chuo cha Ualimu Korogwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama