Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Afungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi Kanda ya Kusini.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alifungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukmbi wa Tawi la Benk Kuu – Mtwara, Novemba 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

230 thoughts on “Majaliwa Afungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi Kanda ya Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama