Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Afungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kuzindua Gereza hilo, Juni 3, 2019. Kulia ni Mkewe Mary.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.

Askari Magereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, June 3, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wa tatu kulia) wakifungua Gereza la wilaya ya Ruangwa Juni 3, 20, 19. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa , wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Kamishina Jenerali wa Magereza, Phaustine Kisike.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa Juni 3, 2019. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary ((wa pili kulia) wakitazama gari alilolitoa Waziri Mkuu kwa Gereza la Wilaya ya Ruangwa wakati alipofungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Maofisa wa Jeshi la Magereza baada ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, Juni 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

140 thoughts on “Majaliwa Afungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *