- Chama cha Labour cha Uingereza Champongeza Rais Magufuli kwa Utendaji Wake.
- Rais Dkt Magufuli na Rais Museveni wa Uganda Waweka Jiwe la Msingi la Bomba la Mafuta Ghafi, Wafungua Kituo cha Pamoja cha Huduma za Mpakani
Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).