Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mabregedia Jenerali wa JWTZ wakibeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu

Mabregedia Jenerali wa JWTZ wakibeba  Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa kabla ya kushushwa kaburini Lupaso Masasi mkoani Mtwara tarehe 29 Julai, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa Lupaso Masasi mkoani Mtwara wakati wa mazishi yake.

One thought on “Mabregedia Jenerali wa JWTZ wakibeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu

 • August 1, 2020 at 2:20 am
  Permalink

  Thanks for the marvelous posting! I genuinely enjoyed reading it, you’re a great author.
  I will be sure to bookmark your blog and definitely will come
  back very soon. I want to encourage you to definitely
  continue your great writing, have a nice evening!

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *