Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Maafisa Habari Wapigwa Msasa Matumizi ya Kamera

Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakijisajili katika karatasi ya mahudhurio wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao. Waliokaa kutoka kulia ni Mweka Hazina wa TGCO, Bibi. Tabu Shaibu na Mjumbe wa Kamati Tendaji, Bw. Innocent Byarugaba.

Baadhi ya Maafisa Habari wakifuatilia namna ya kutumia Kamera toka kwa mwezeshaji, Bw. Furaha Daniel (aliyeshika kamera) Bw. Furaha Daniel wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.

Afisa Uhusianno toka Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Bi. Christina Seth Shoo akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.

Baadhi ya Maafisa Habari wakifuatilia mafunzo ya namna ya kuzalisha vipindi toka kwa mwezeshaji, Bw. Furaha Daniel (hayupo pichani) wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail