Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Maafisa Habari Wajengewa Uwezo Uandishi Habari za Kiserikali

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa habari za Kiserikali wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.

Afisa Habari toka Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Daud Nyingo akichangia mada wakati wa mafunzo wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.

Afisa Uhusiano wa Tume ya Nguvu za Atomiki, Angela Msangi (kushoto) akijibu swali walilopewa wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.

Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali na taasisi zake wakijadiliana katika makundi mara baada ya kusikiliza mada toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)

216 thoughts on “Maafisa Habari Wajengewa Uwezo Uandishi Habari za Kiserikali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama