Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kwandikwa Awataka Watanzania Kuzingatia Alama za Usalama Barabarani

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akielekea Wodini kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma. Kushoto ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzi. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akisikiliza maelezo toka kwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzi (katikati) alipotembelea Hospiltali hiyo kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 34.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias Kwandikwa akiagana na Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzimara baada ya kuwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Miundombinu ya Uchukuzi, Mhandisi. Thomas NgulikaAjali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.(Picha na: Frank Shija)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail