Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kituo cha Pamoja cha Forodha Tunduma Kinavyooneka

Muonekano wa Kituo cha Forodha cha Pamoja (OSBP) kwa upande wa Tanzania kilichopo Tunduma mkoani Songwe ambacho kimefunguliwa kwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu.

One thought on “Kituo cha Pamoja cha Forodha Tunduma Kinavyooneka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama