Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Akutana na Watuishi Idara ya Mazingira na Menejimenti ya NEMC

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akiongoza kikao kazi alipokutana na Idara ya Mazingira pamoja na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma.

Watendaji kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakiwa katika kikao na Katibu Mkuu Mhandisi Joseph Malongo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama