Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Katibu Mkuu Nishati akagua uzalishaji wa gesi asilia Lindi na Mtwara

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( katikati) akipata maelezo ya namna mtambo wa kuunguza gesi kwa ajili ya usalama ( haupo pichani), kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha kuchakata Gesi cha Madimba, Mhandisi Sultan Pwaga,(aliyenyoosha mkono) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu huyo ya kutembelea mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na Mtwara, Mei 30- Juni 01,2020

Na Zuena Msuya, Mtwara

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miundombuni ya uchimbaji, uchakataji na usafirishaji wa gesi asilia katika  Mikoa ya Lindi na Mtwara.

Mhandisi Zena alifanya ziara hiyo mwishoni mwa juma kwa kukagua visima vya kuchimba gesi vilivyopo Mnazi Bay eneo la Msimbati pamoja na Kiwanda cha Kuchakata Gesi hiyo cha Madimba mkoani Mtwara na Kituo cha kupokea gesi na kufua Umeme cha Somanga Fungu mkoani Lindi, Mei 30- Juni 01,2020.

Mhandisi Zena alifanya ziara hiyo kwa lengo la kuona utendaji kazi wa mfumo mzima wa uchimbaji, uchakataji, usafirishaji wa gesi asilia na kufua umeme pamoja na matumizi mengine ya majumbani,mahotelini, viwandani na kwenye magari.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( katikati) pamoja na viongozi waandamizi wa wizara na Shirika la Maendeleo ya Petroli( TPDC) wakikagua mitambo ya kiwanda cha kuchakata gesi asilia cha Madimba mkoani wakati wa ziara ya Katibu Mkuu huyo ya kutembelea mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na Mtwara, Mei 30-31,2020.

Baaada ya kukagua na kuona ufanyaji kazi wa mfumo huo, alilipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kwa kuendela kufanya kazi kwa weledi na uzalendo mkubwa.

“Huu ni mradi wetu sisi watanzania tunajivunia sana kuwa nao, hongereni sana TPDC mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana, watanzania pia wanafahamu juu ya kazi yenu, uzalendo ndiyo kitu cha msingi kwa kila taifa ili liweze kuthamini vitu vyake vya ndani na kusonga mbele, wataalamu simameni imara kwa maslahi mapana ya taifa lenu, sisi serikali tunawapongeza sana” Alisema Mhandisi Zena.

Aliliagiza shirika hilo, kuendelea kutoa mafunzo ya muda mrefu na mfupi kwa wataalam wa mradi huo ili kuwajengea uwezo zaidi wa kitaaluma ili kukabiliana na ukuaji tekelolojia unaendelea kukuwa duniani kila siku.

Vilevile alitoa wito kwa wataalamu hao kuwa wasikubali kurubiniwa kwa namna yeyote ile, na kwa wale wakongwe na wenye uzoefu wa muda mrefu katika utekelezaji na usimamizi mradi huo,wasiwe wanyimi bali wawarithishe uzoefu na ujuzi zaidi vijana ambao ni wapya katika taaluma hiyo licha kuwa na elimu kubwa.

Pia aliwapongeza kwa kuendelea kutunza mazingira yanayozunguka mradi huyo uliodumu kwa miaka mitano sasa.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini, (TPDC) Dkt. James Mataragio alieleza kuwa mbali ya kuwepo kwa tishio la Virusi vya Corona nchini, uzalishaji wa gesi asilia haukuathirika badala yake uliendelea kuongeza kutoka futi za ujazo milioni siti hadi kufikia futi za ujazo milioni tisini.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( mwenye ushungi) akishika bomba la kusafirisha gesi alipotembelea kituo moja ya vituo vya usalama na dharura vya kusafirisha gesi asilia wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi wa gesi asilia katika mkoa wa lindi na mtwara, Mei 30- Juni 01,2020. Kushoto Viongozi Waandamizi wa Wizara na Taasisi alioambatana nao katika ziara hiyo.

“Corona haikuathiri kabisa uchimbaji na uzalishaji wa gesi asilia hapa nchini,tumeendelea kufanya kazi kwa kuchukuwa tahadhari,  tukizingatia maelekezo ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Uzalishaji wa Gesi hadi kufikia Mwezi Aprili mwaka huu 2020 ilifikia futi za ujazo milioni 90, na umeme unaozalishwa sasa unatumia gesi hiyo pamoja na ule unaotokana na vyanzo vya maji”, Alisema Dkt. Mataragio.

Hii ni mara ya kwanza kwa Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Nishati kutembelea mradi huo wa gesi, baada ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo mapema mwaka huu.

Katibu Mkuu huyo pamoja na ujumbe wake, pia walitembelea kiwanda cha kutengeneza Malumalu pamoja na Mabox cha GodWill kilichopo wilayani Mkuranga mkoani Pwani kinachotumia gesi asilia inayochimbwa hapa nchini kufanya shughuli zake za uzalishaji.

 

21 thoughts on “Katibu Mkuu Nishati akagua uzalishaji wa gesi asilia Lindi na Mtwara

 • August 10, 2020 at 10:49 am
  Permalink

  I think the admin of this site is genuinely working hard in favor of his site, for
  the reason that here every information is quality based data.

  Reply
 • August 24, 2020 at 11:40 am
  Permalink

  I know this website provides quality depending articles or reviews and other material,
  is there any other web page which provides such information in quality?

  Reply
 • August 24, 2020 at 7:51 pm
  Permalink

  constantly i used to read smaller content which as well clear their motive, and that is also happening with this article
  which I am reading at this time. 2CSYEon cheap
  flights

  Reply
 • August 26, 2020 at 6:06 am
  Permalink

  I appreciate, result in I found exactly what I was taking
  a look for. You’ve ended my 4 day lengthy hunt! God Bless
  you man. Have a great day. Bye 31muvXS cheap flights

  Reply
 • August 31, 2020 at 8:09 am
  Permalink

  Heya i’m for the primary time here. I found this board and I in finding It really useful & it helped
  me out much. I hope to give something back and help others such as you aided me.

  Reply
 • August 31, 2020 at 1:34 pm
  Permalink

  This is a topic that is close to my heart… Take care!
  Exactly where are your contact details though?

  Reply
 • September 5, 2020 at 9:59 am
  Permalink

  I have read so many posts on the topic of the blogger lovers but this post is truly a good paragraph, keep
  it up.

  Reply
 • September 5, 2020 at 3:01 pm
  Permalink

  Great blog you have here.. It’s hard to find good quality writing like yours these
  days. I honestly appreciate people like you! Take care!!

  Reply
 • January 3, 2021 at 1:49 am
  Permalink

  I must show thanks to this writer just for bailing me out of this type of challenge. After scouting through the search engines and meeting thoughts that were not powerful, I thought my life was gone. Living without the approaches to the issues you have sorted out all through the article content is a critical case, and ones that might have in a negative way affected my career if I hadn’t noticed your web page. Your main knowledge and kindness in touching every part was valuable. I’m not sure what I would’ve done if I had not come upon such a stuff like this. I can also at this moment look forward to my future. Thank you so much for your specialized and result oriented guide. I won’t be reluctant to suggest your web blog to anybody who needs guide on this topic.

  Reply
 • January 3, 2021 at 9:05 am
  Permalink

  I am also writing to let you understand of the wonderful encounter my wife’s princess encountered browsing your site. She realized many pieces, which include what it is like to have a great giving character to make others smoothly understand certain extremely tough subject matter. You truly surpassed my expected results. Many thanks for showing the beneficial, safe, revealing and in addition unique tips on the topic to Evelyn.

  Reply
 • January 4, 2021 at 6:30 am
  Permalink

  I enjoy you because of all your hard work on this site. My niece enjoys managing investigations and it’s really obvious why. We all learn all relating to the powerful mode you give simple things by means of the website and improve response from people on that area while our favorite simple princess has been learning a whole lot. Have fun with the rest of the new year. You’re the one doing a terrific job.

  Reply
 • January 6, 2021 at 3:05 am
  Permalink

  I and also my pals were looking through the excellent guidelines on the blog then suddenly developed a horrible feeling I had not expressed respect to the site owner for those secrets. My ladies ended up consequently very interested to study them and have sincerely been taking pleasure in them. Thank you for indeed being considerably thoughtful as well as for making a choice on such outstanding information most people are really wanting to know about. My honest regret for not expressing gratitude to you earlier.

  Reply
 • January 6, 2021 at 11:30 am
  Permalink

  I precisely wished to thank you so much yet again. I do not know the things I could possibly have followed in the absence of the actual creative ideas discussed by you directly on my topic. It absolutely was the intimidating problem for me, nevertheless understanding the specialized manner you handled it took me to weep with fulfillment. I’m just happy for the guidance and in addition wish you find out what a great job you have been accomplishing instructing the rest through your webblog. I am sure you have never got to know any of us.

  Reply
 • January 6, 2021 at 11:35 am
  Permalink

  I would like to express appreciation to you just for rescuing me from this type of instance. As a result of checking through the the web and obtaining tricks that were not pleasant, I figured my life was gone. Being alive minus the approaches to the difficulties you’ve resolved all through the report is a serious case, as well as those which may have adversely affected my career if I had not encountered your web page. Your good skills and kindness in handling all areas was valuable. I’m not sure what I would have done if I had not encountered such a step like this. It’s possible to at this time relish my future. Thank you so much for the high quality and amazing guide. I won’t be reluctant to refer the sites to anybody who requires direction on this subject matter.

  Reply
 • January 6, 2021 at 11:37 am
  Permalink

  I simply wished to thank you very much yet again. I’m not certain what I could possibly have made to happen without the type of aspects documented by you regarding such problem. It seemed to be an absolute challenging circumstance in my opinion, nevertheless spending time with this specialised tactic you processed that made me to cry with joy. I am happier for the work and as well , sincerely hope you are aware of a powerful job you are doing training many people all through your website. Most probably you haven’t got to know all of us.

  Reply
 • January 6, 2021 at 11:37 am
  Permalink

  I would like to get across my gratitude for your kind-heartedness giving support to persons that should have help with that field. Your real commitment to passing the solution all over appears to be unbelievably effective and have regularly empowered folks just like me to arrive at their desired goals. Your own important advice means a lot to me and much more to my mates. Thank you; from each one of us.

  Reply
 • January 9, 2021 at 3:17 am
  Permalink

  I enjoy you because of each of your work on this site. My mum delights in working on research and it’s really obvious why. All of us notice all relating to the powerful way you render reliable tips via the web site and as well cause response from the others about this subject plus our girl is without a doubt becoming educated a whole lot. Take advantage of the remaining portion of the year. Your doing a terrific job.

  Reply
 • January 11, 2021 at 5:43 pm
  Permalink

  I have to express some appreciation to this writer for rescuing me from this particular predicament. Right after looking through the world-wide-web and coming across methods that were not beneficial, I figured my life was well over. Existing without the answers to the issues you have fixed as a result of your good website is a serious case, as well as ones that could have negatively damaged my career if I hadn’t noticed your blog. Your primary competence and kindness in controlling every part was precious. I’m not sure what I would’ve done if I hadn’t encountered such a thing like this. I am able to at this time relish my future. Thanks a lot so much for the reliable and amazing help. I will not think twice to propose your site to anyone who will need direction on this problem.

  Reply
 • January 12, 2021 at 4:09 am
  Permalink

  I wish to show thanks to the writer just for rescuing me from such a challenge. Right after researching throughout the the net and getting basics that were not pleasant, I assumed my entire life was well over. Existing without the solutions to the problems you’ve solved by means of this review is a serious case, and those that would have badly damaged my entire career if I had not come across your web blog. Your own capability and kindness in controlling a lot of things was useful. I don’t know what I would’ve done if I hadn’t come across such a solution like this. I can also at this point look ahead to my future. Thanks a lot so much for the high quality and results-oriented help. I won’t hesitate to endorse the blog to anyone who will need recommendations on this problem.

  Reply
 • January 12, 2021 at 4:10 am
  Permalink

  I as well as my friends appeared to be studying the great tips and tricks on the blog then then got a horrible suspicion I had not expressed respect to the web site owner for those secrets. Those boys are already absolutely happy to read through all of them and have in effect certainly been taking pleasure in these things. Thanks for indeed being simply thoughtful and then for picking certain marvelous areas most people are really desperate to be aware of. My personal honest apologies for not expressing appreciation to you sooner.

  Reply
 • January 14, 2021 at 1:16 am
  Permalink

  Thanks a lot for giving everyone such a nice possiblity to discover important secrets from this web site. It really is so excellent and full of fun for me and my office co-workers to search your blog at minimum three times in a week to read through the latest things you have got. And indeed, I am just at all times impressed with your powerful guidelines you give. Certain 4 areas in this article are really the very best we’ve ever had.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *