Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Balozi Mahiga Apanda Miti Kumuunga Mkono Makamu Wa Rais

Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) akipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.

Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akimwagilia mti baada ya kuupanda katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.

Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Dkt Balozi Agostino Mahiga (Mb) {kushoto} akichagua miti kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika maeneo ya Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Philp Makenzi (kushoto) na Stephen Malimiru (kulia) wakipanda mti katika eneo la ofisi za Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo.

57 thoughts on “Waziri Balozi Mahiga Apanda Miti Kumuunga Mkono Makamu Wa Rais

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *