
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi leo tarehe 7 Machi, 2019 ametembelea na kukagua maandalizi ya mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga unaotarajiwa kuchezwa hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo wakati wakitembelea na kukagua maandalizi ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga utakaopigwa hapo kesho Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mageti yatafunguliwa kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Na Mwandishi Wetu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amewaagiza maafisa wa Wizara yake kusimamia haraka mmarekebisho ya eneo mojawapo la benchi la wachezaji wa akiba kwenye Uwanja Mkuu wa Taifa Dar es Salaam baada ya kutoridhishwa na hali ya paa la benchi hilo.
Dkt. Abbasi aliyefika kukagua uwanja huo leo Jumamosi, uwanja utakaotumika kwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kesho Jumapili, ameeleza kuridhishwa na maandalizi ya uwanja huo lakini akashangaa eneo hilo la benchi kuwa na paa lililopasuka linaloweza kusababidhanwachezaji wa akiba kulowa mvua ikinyesha.
Kutokana na hali hiyo, Dkt. Abbasi aliwahoji watendaji wa Wizara hiyo aliokuwa nao na kisha kumpigia simu papo kwa papo Mhasibu Mkuu wa Wizara hiyo na kumwagiza atoe fedha za marekebisho hayo leo leo.
“Nimefika hapa kujiridhisha na maandalizi ya uwanja huu utakaotumika kwa mechi ya Simba na Yanga hapo kesho ambao kimsingi ni wa Serikali lakini hili dogo la paa la benchi la wachezaji kupasukabna kuvuja nataka nikifika hapa kesho asubuhi nikute limerekebishwa. Haya mambo madogo madogo tusiiache Serikali ikaaibika bila sababu.
“Nimeshamwagiza Mhasibu Mkuu atoe fedha kufanya ukarabati mdogo wa eneo hili leo leo. Fuatilia,” alisema Dkt. Abbasi akimwagiza Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo kufuatilia na kusimamia jukumu hilo.
Awali Dkt. Abbas alifanya kikao cha ndani na watendaji wote wanaosimamia uwanja na mechi na kusisitiza kuwa Serikali inataka kuona watu wanafurahia mechi hiyo kwa amani lakini pia kusiwe na upotevu wa mapato ya Serikali na pia kila mdau apate stahili yake.
Aidha, ametembelea maeneo mbalimbali ya uwanja huo na kusisitiza: “Nimeridhika. Maandalizi yako tayari na jukumu letu Serikali ni kuhakikisha kesho wote watakaofurahia baada ya matokeo na wale watakaohuzunika tunawalinda na kuwahakikishia usalama wao kabla, wakati na baada ya mechi.”
Pingback: viagra visa
Pingback: cialis for sale
Pingback: buy cialis online
Pingback: canadian pharmacy cialis
Pingback: viagra 50mg
Pingback: cheapest ed pills online
Pingback: cheap erectile dysfunction pills
Pingback: male erection pills
Pingback: canada pharmacy
Pingback: online canadian pharmacy
Pingback: generic cialis
Pingback: Buy cheap cialis
Pingback: vardenafil online
Pingback: vardenafil online
Pingback: vardenafil 20mg
Pingback: casino slots gambling
Pingback: best generic viagra
Pingback: casino real money
Pingback: online casinos real money
Pingback: personal loans
Pingback: loans for bad credit
Pingback: cialis generic
Pingback: casino game macintosh
Pingback: marguerite
Pingback: best real money online casinos
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: cialis internet
Pingback: cialis 20
Pingback: online casino
Pingback: casino online
Pingback: casino games online
Pingback: discount viagra
buy cheap viagra http://ajviagra.com/ generic viagra india
viagra for men prescription viagra buy viagra online no prescription
help me write a thesis statement phd thesis database write a thesis
tadalafil http://jacialis.com/ tadalafil 20 mg
example thesis http://thesiswritinghelpfvb.com/
cialis price http://loncialis.com/ cheap tadalafil
cialis cost http://sjcialis.com/ buy cheap cialis
research papers writing service http://researchpapersgaa.com/ research paper to buy
custom essay helping others essay custom essay meister
order custom paper pay someone to write my paper pay for a paper
custom essay custom essay org top essay writers
п»їbuy essay http://essaywritingservicefav.com/ essay writing help
Pingback: cialis 10mg
viagra online uk viagra prices viagra online without prescription
cialis generic п»їcialis cialis soft tabs
viagra india pfizer viagra cheap viagra
cialis 20mg viagra vs cialis cialis over the counter
can women take viagra can women take viagra viagra dosage
canadian pharmacy viagra how does viagra work buy viagra online
cialis 20mg cialis online canadian pharmacy cialis
tadalafil reviews cheap cialis non prescription cialis
soft tabs viagra cheap viagra viagra sample
viagra generic brand online viagra online viagra
cialis 20 mg cialis cheap cialis
viagra generic name what exactly does viagra do? viagra meme
generic cialis online cialis pills do you need a prescription for cialis
Great article.
Here is my page https://internetcasinodude.com/