Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kamishna Sabas Akutana na Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Liberatus Sabas, akikagua moja ya silaha aina ya Mota ambayo itatumika katika operesheni ya kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji baada ya nchi hiyo kuvamiwa kwa kambi za Jeshi na vituo vya Polisi pamoja na Mabenki nchini Msumbiji siku ya tarehe 23/03/2020.

Kamishna wa Opereshni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, akiwatia moyo Askari waliopangwa kufanya doria maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mtwara baada ya kutokea kwa uvamizi wa vituo vya Polisi, Kambi za Jeshi na Mabenki huko nchini Msumbiji.

Mapema leo 30/03/2020 katika Uwanja wa Mazoezi wa Kikosi cha kutuliza Ghasia Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, ameongea na Askari wa Vikosi Maalum kutoka mikoa mbalimbali waliowasili mkoani Mtwara kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika mipaka ya Tanzania na Msumbiji baada ya kutokea machafuko nchini humo.

204 thoughts on “Kamishna Sabas Akutana na Kikosi Maalum cha Kupambana na Uhalifu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama