Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kamati Yaagiza Ulinzi wa Miundombinu

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, baada ya Kamati hiyo kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya Ubungo, jijini Dar es Salaam

 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mradi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam ili idumu kwa kipindi kirefu.

Mradi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika njia za barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 229 na huku Serikali ikichangia fedha za fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa mradi.

Ameyasema hayo Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Seleman Kakoso wakati wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea ujenzi wa mradi huo na wajumbe hao kuridhika na hatua ya kazi zilizofikiwa kwa sasa ambao walimtaka mkandarasi kutimiza malengo kwa kadiri mkataba walivyousaini.

“Tunaipongeza Serikali, Wizara na TANROADS kwa kazi nzuri na usimamizi kwani tumefarijika kuona miundombinu ambayo imejengwa ni mizuri na kazi iliyofikiwa ni nzuri sana hivyo tunamategemeo kwamba miundombinu hii itawanufaisha watanzania”, amesema Kakoso.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Wizara na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, ameihakikishia kamati hiyo kuwa watasimamia utekelezaji wa miundombinu bora ya Barbara kwa kila fedha inayopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla.

“Dhamira ya Serikali ni kuongeza ubora wa huduma za miundombinu ikiwemo ya barabara na pia kupunguza msongamano  katika majiji na hasa jiji la Dar es Salaam na sisi Wizara tuwahakikishie kuwa tutaendelea kutekeleza miradi kama hii ya ubungo na maeneo mbalimbali”, amefafanua Naibu Waziri huyo.

Amesema kuwa watanzania wanaopita katika barabara zetu wakipoteza muda mwingi katika foleni Serikali inapata hasara  kubwa kwani uzalishaji unapungua hivyo miundombinu hii itakuwa ni mkombozi kwa Taifa kwa ujumla.

Naye, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, ameieleza kamati hiyo kuwa ujenzi wa barabara za juu  (Interchange) katika makutano ya eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam itakuwa na uwezo wa kudumu miaka 120 ijayo na kupunguza msongamano wa magari kwa zaidi ya miaka 50 ijayo ndo hali hiyo ijirudie tena.

Aidha amewaeleza kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi huo umefikia asilimia 70 na  unatarajiwa kukamilika mapema mwishoni mwa mwezi wa Julai, 2020.

“Niwatoe hofu wajumbe kuwa mradi utakamilika mapema zaidi, mkandarasi yupo mbele ya muda na changamoto ya msongamano wa magari katika makutano haya utakuwa historia”, Mhandisi Mfugale.

Mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo, Mheshimiwa Munde Abdallah, amesema wamefurahi kuona mradi kama huo wa kihistoria unatekelezwa katika nchi yetu na ni sifa kwa watanzania na Serikali yetu ya Awamu ya Tano.

“Serikali imewekeza fedha nyingi katika mradi huu na ndio kazi ya fedha za Serikali ya Awamu hii chini ya Rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli yenye dhamira ya dhati ya kuhakikisha maendeleo ya Tanzania yanapatikana hivyo miundombinu hii mizuri ni kivutio kwa  jiji la Dar es Salaam”, amesema Mheshimiwa Munde.

 

64 thoughts on “Kamati Yaagiza Ulinzi wa Miundombinu

 • Pingback: Buy branded viagra

 • Pingback: buy cialis online

 • Pingback: cialis on line

 • Pingback: Pharmacy viagra

 • Pingback: cialis 10mg

 • Pingback: cialis daily cost

 • Pingback: ed pills gnc

 • Pingback: cheapest ed pills online

 • Pingback: gnc ed pills

 • Pingback: walmart pharmacy

 • Pingback: Cialis in usa

 • Pingback: cheap vardenafil

 • Pingback: online levitra

 • Pingback: buy levitra online

 • August 11, 2020 at 10:56 pm
  Permalink

  Since the admin of this site is working, no uncertainty
  very quickly it will be famous, due to its quality contents.

  Reply
 • Pingback: free slots online

 • Pingback: slot machine

 • August 24, 2020 at 7:45 pm
  Permalink

  Hello, after reading this awesome article i am
  also cheerful to share my experience here with mates. 31muvXS cheap flights

  Reply
 • August 25, 2020 at 3:24 am
  Permalink

  Asking questions are in fact pleasant thing if you
  are not understanding something fully, but this piece of writing presents good understanding yet.

  cheap flights y2yxvvfw

  Reply
 • Pingback: viagra pills

 • August 28, 2020 at 10:29 am
  Permalink

  Ahaa, its nice dialogue concerning this post here at this
  blog, I have read all that, so at this time me also commenting here.

  Reply
 • August 31, 2020 at 7:36 am
  Permalink

  When I originally commented I clicked the “Notify me when new comments are added” checkbox and now each
  time a comment is added I get several emails with the same
  comment. Is there any way you can remove me from that service?

  Thanks a lot!

  Reply
 • Pingback: buying cialis online safely

 • September 5, 2020 at 5:04 am
  Permalink

  Hello there! I know this is kinda off topic but I’d figured I’d ask.
  Would you be interested in trading links or maybe guest writing a blog post or vice-versa?
  My site discusses a lot of the same subjects as yours and I think we could greatly
  benefit from each other. If you’re interested feel free to shoot me an e-mail.
  I look forward to hearing from you! Excellent blog by the way!

  Reply
 • October 28, 2020 at 12:04 am
  Permalink

  best place to buy viagra online generic viagra best place to buy generic viagra online

  Reply
 • February 1, 2021 at 8:43 pm
  Permalink

  There is certainly a lot to find out about this issue. I like all of the points
  you made.

  Reply
 • February 2, 2021 at 7:14 pm
  Permalink

  Hi! I know this is somewhat off-topic but I needed to
  ask. Does building a well-established website such as
  yours require a massive amount work? I’m completely new to operating a
  blog but I do write in my diary on a daily basis. I’d like to
  start a blog so I can share my experience and feelings online.
  Please let me know if you have any suggestions or tips for new aspiring bloggers.
  Thankyou!

  Reply
 • February 2, 2021 at 8:26 pm
  Permalink

  What’s up, after reading this remarkable post i am as well cheerful to share my knowledge here
  with friends.

  Reply
 • February 3, 2021 at 12:54 pm
  Permalink

  Pretty component of content. I simply stumbled upon your website and in accession capital to claim that I get in fact enjoyed account your blog posts.

  Any way I will be subscribing on your augment
  or even I success you get admission to constantly quickly.

  Reply
 • March 19, 2021 at 3:35 pm
  Permalink

  Thanks for the good writeup. It if truth be told used to be a amusement account
  it. Glance complicated to more introduced agreeable from you!
  However, how can we communicate?

  Reply
 • March 21, 2021 at 11:33 pm
  Permalink

  Really when someone doesn’t be aware of then its up to other viewers that they will help, so
  here it happens.

  Reply
 • March 23, 2021 at 4:34 am
  Permalink

  Hmm it appears like your website ate my first comment (it was extremely long) so I
  guess I’ll just sum it up what I had written and say, I’m thoroughly
  enjoying your blog. I as well am an aspiring
  blog blogger but I’m still new to the whole thing.
  Do you have any tips and hints for first-time blog writers?
  I’d definitely appreciate it.

  Reply
 • May 4, 2021 at 12:32 am
  Permalink

  Awesome things here. I am very satisfied to peer your post.
  Thank you so much and I’m looking ahead to contact you.
  Will you please drop me a e-mail?

  Reply
 • May 4, 2021 at 11:06 am
  Permalink

  Appreciating the persistence you put into your blog and detailed information you provide.
  It’s great to come across a blog every once in a
  while that isn’t the same unwanted rehashed information. Fantastic read!
  I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

  Reply
 • May 7, 2021 at 10:58 am
  Permalink

  Hello there! Quick question that’s totally off topic.
  Do you know how to make your site mobile friendly? My weblog looks
  weird when viewing from my iphone 4. I’m trying to find
  a template or plugin that might be able to fix this problem.
  If you have any recommendations, please
  share. Thanks!

  Reply
 • May 8, 2021 at 5:59 am
  Permalink

  Do you have a spam problem on this blog; I also am a blogger, and I
  was curious about your situation; many of us have created some nice methods and we are looking
  to exchange strategies with others, why not shoot me an email if interested.

  Reply
 • May 9, 2021 at 6:02 am
  Permalink

  I read this post fully concerning the comparison of most recent and previous
  technologies, it’s amazing article.

  Reply
 • May 15, 2021 at 10:54 am
  Permalink

  scoliosis
  Aw, this was a very nice post. Taking a few minutes and actual effort to produce a good
  article… but what can I say… I procrastinate a
  whole lot and never seem to get anything done. scoliosis

  Reply
 • May 19, 2021 at 11:42 am
  Permalink

  scoliosis
  Hi Dear, are you really visiting this site daily, if so then you will
  without doubt get fastidious knowledge. scoliosis

  Reply
 • May 21, 2021 at 12:30 pm
  Permalink

  I was suggested this web site by way of my cousin. I’m no longer certain whether this post is
  written by means of him as nobody else recognise such distinct about
  my problem. You are amazing! Thank you!

  Reply
 • May 26, 2021 at 6:16 pm
  Permalink

  Hi, of course this post is genuinely nice and I have learned lot of things from it regarding blogging.
  thanks.

  Reply
 • May 30, 2021 at 2:11 pm
  Permalink

  I’m not sure where you are getting your info, but good topic.
  I needs to spend some time learning much more or
  understanding more. Thanks for wonderful info I was looking for this information for my mission.

  Reply
 • June 1, 2021 at 3:08 am
  Permalink

  I got this site from my buddy who informed me about this site
  and at the moment this time I am visiting this web page and reading very informative content here.

  Reply
 • June 2, 2021 at 3:54 am
  Permalink

  It’s amazing to pay a quick visit this website and reading the views of all colleagues on the topic of this article,
  while I am also zealous of getting know-how.

  Reply
 • June 21, 2021 at 5:52 am
  Permalink

  Thank you a lot for sharing this with all of us you
  really understand what you are speaking approximately!
  Bookmarked. Please additionally discuss with my website =).

  We may have a hyperlink trade agreement among us

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama