Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii Yatembelea Ngorngoro

 

 

Faru Fausta  mwenye umri wa miaka 54 ambaye ni  faru kikongwe kuliko wote nchini, anahitaji matunzo mazuri ili aendelee kuvuta watalii na wanasayansi kutoka kila pembe ya dunia.

 

Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Freddy Manongi akizungumza jana kwenye kikao cha Majumuisho  na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii mara baada ya kukamilisha ziara ya kutembelea Bonde la Ngorongoro na Makumbusho ya Olduvai Gorge

66 thoughts on “Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii Yatembelea Ngorngoro

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama