Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

JKT Yasitisha Mafunzo kwa Kundi la Kujitolea

Kaimu Mkuu wa Utawala  wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan Mabena akieleza kwa waandishi wa habari  kuhusu kusitishwa kwa mafunzo ya kundi la kujitolea kwa mwaka 2020/2021 wakati wa mkutano uliofanyika makao makuu ya Jeshi hilo wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo Januari 19, 2021, Mafunzo hayo yalipangwa kuanza hivi karibuni katika makambi mbalimbali ya JKT.

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesitisha kwa muda Mafunzo kwa  kundi la kujitolea kwa mwaka 2020/2021 kwa vijana waliokuwa wamechaguliwa  kushiriki mafunzo hayo yaliyotarajiwa kuanza hivi karibuni kote nchini .

Na Mwandishi Wetu – Dodoma

One thought on “JKT Yasitisha Mafunzo kwa Kundi la Kujitolea

  • July 3, 2021 at 1:40 pm
    Permalink

    234138 778050Quite instructive and excellent bodily structure of subject matter, now thats user pleasant (:. 237683

    Reply

Leave a Reply to prevent keylogging Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama