Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

JKCI Yatoa Elimu ya Huduma za Matibabu ya Moyo Wakati wa Maonesho ya Viwanda ya SADC Yaliyomalizika Jana jijini Dar es Salaam

Daktari wa chumba cha upasuaji wa moyo Tryphone Kagaruki kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akimwelekeza Bhupendra Vaghele jinsi upasuaji wa moyo unavyofanyika alipotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya viwanda ya SADC yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam

Mustafa Abdulkadir mmoja ya wananchi waliotembelea banda la maonesho ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya wageni baada ya kupata elimu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo bingwa kwa magomjwa ya moyo nchini.

Daktari bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Pedro Pallangyo, akitoa elimu ya afya ya moyo na huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na taasisi hiyo kwa wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa maonesho ya viwanda ya SADC yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam huduma.

138 thoughts on “JKCI Yatoa Elimu ya Huduma za Matibabu ya Moyo Wakati wa Maonesho ya Viwanda ya SADC Yaliyomalizika Jana jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama