
Muonekano wa jengo la Mahakama Kuu, Kanda tarajiwa ya Kigoma lililopo katika ujenzi, Mhe. Jaji Mfawidhi Kanda ya Kigoma alikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo linalotarajiwa kukamilika, Juni, 2019.
Na Festo Sanga, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kigoma
Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora, Mhe. Salvatory Bongole amefanya ziara ya kikazi kwa kutembelea na kukagua shughuli mbalimbali za Mahakama mkoani Kigoma pamoja na ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Mahakama Kuu, Kanda tarajiwa ya Kigoma.
Mhe. Jaji Mfawidhi huyo alifanya ziara yake mkoani humo kuanzia September 17, 2018 hadi September 21, 2018 na alipata fursa ya kukagua Mahakama katika Wilaya za wilaya Kibondo, Kasulu, Kigoma na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma.
Akiongea na Watumishi wa Mahakama Mkoani humo hivi karibuni, Mhe. Jaji Bongole aliwaasa kutojihusisha na vitendo vya rushwa.

Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora (kushoto) akiongea jambo na Wakandarasi wa ‘Masasi Construction Company Limited’ wanaojenga jengo la Mahakama Kuu tarajiwa Kigoma.
“Kwa yule ambaye atatuhumiwa na kupelekwa Mahakamani na kuthibitika kushiriki katika vitendo vya rushwa, atachukuliwa hatua stahiki za kisheria ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi” alisisitiza Mhe. Jaji Bongole.
Aidha aliwapongeza watumishi kwa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuwasisitiza kuendelea kuwa na nidhamu kazini pamoja na kufuata maadili ya utumishi wa umma ili kuboresha utendaji kazi wa shughuli za Mahakama kwa umma.
Katika ziara hiyo, Jaji Mfawidhi huyo alitembelea na kujionea miradi ya ujenzi wa Mahakama ya Wilaya Kasulu na Mahakama Kuu, Kanda tarajiwa ya Kigoma inayotarajiwa kukamilika mapema mwaka 2019.
Mbali na ukaguzi wa Mahakama, Mhe. Bongole alipata fursa ya kutembelea Magereza ya Wilaya ya Kasulu, Kibondo na Kigoma ili kubaini changamoto mbalimbali zilizoko na kuzitolea ufumbuzi

Mhe. Jaji Mfawidhi (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Kibondo.

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora akipanda mti katika eneo la Mahakama ya Wilaya Kibondo ikiwa ni utekelezaji wa azimio la kuboresha mazingira. Kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya Mhe. Fadhili Mbelwa.
Pingback: cialis coupon cvs
Pingback: order cialis online
Pingback: cialis
Pingback: Buy viagra no prescription
Pingback: cialis prices
Pingback: is cialis generic
Pingback: cialis pill
Pingback: online pharmacy viagra
Pingback: cheap viagra
Pingback: ed pills online
Pingback: ed pills
Pingback: ed pills
Pingback: generic cialis
Pingback: cvs pharmacy
Pingback: cialis visa
Pingback: levitra online pharmacy
Pingback: vardenafil dosage
Pingback: wind creek casino online play
Pingback: doubleu casino online casino
Pingback: best generic viagra
Pingback: real online casino
Pingback: casinos online
Pingback: cash payday
Pingback: cash payday
Pingback: pay day loans
Pingback: best real money online casinos
Pingback: toni
Pingback: best online casinos that payout
Pingback: generic cialis
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: phyllis
Pingback: real money casino
Pingback: casino game
Pingback: doubleu casino
Pingback: casinos
Pingback: viagra for sale
Pingback: generic for viagra
Pingback: vegas casino online
Pingback: online casino usa real money
Pingback: online casino games for real money
Pingback: wellbutrin 300 mg generic
Pingback: cost of furosemide
Pingback: anastrozole cheap
tinder website , tinder website