Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma.
Serikali itahakikisha kuwa mbolea inawafikia wakulima kwa wakati katika msimu ujao ili kuchochea ukuaji wa sekta ya kilimo hapa nchini hali itakayoongeza ari ya utekelezaji wa dhana ya ujenzi wa uchumi wa viwanda.
Akizungumza Bungeni mjini Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba amesema kuwa katika msimu ujao, Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbolea na pembejeo nyingine katika maeneo yao wakati wote wanapohitaji.
“Tutaandaa utaratibu maalum wa kuwajengea uwezo wabunge wote kuhusu...
Read More