Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na wadau wa sanaa na filamu (hawapo katika picha) wakati wa uzinduzi wa Multichoice Talent Factory iliyoandaliwa na Kampuni ya Multichoice Afrika jana Jijini Dodoma.
Na Lorietha Laurence-WHUSM, Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa rai kwa Kampuni ya Multichoice nchini kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na vyuo vinavyotoa elimu ya sanaa ya filamu ili kuhakikisha wanabadilishana ujuz...
Read More