[caption id="attachment_34727" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati), akizungumza na mkandarasi anayejenga miundombinu ya kusambaza umeme kwa wananchi kupitia mradi wa Makambako hadi Songea, (kushoto) ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu.[/caption]
Na: Zuena Msuya, Njombe
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amesema kuwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya kV220 kutoka Mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe hadi Songea mkoani Ruvuma umekamilika na utazinduliwa muda wowote kuanzia sasa....
Read More