Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano imesema kuwa imeandaa utaratibu utakaowasaidia wahandisi wazawa kupata fursa ya kurithi teknolojia kutoka kwa wageni katika ujenzi wa miradi mikubwa ya nchi.
Akizungumza jana jijini Dar es salaam, wakati akifunga Kongamano la Maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Wahandisi sambamba na Siku ya Wahandisi nchini lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa alisema kuwa hivi karibuni Bun...
Read More