Na. Immaculate Makilika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameichangia timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa stars) kiasi cha fedha shilingi milioni 50, ambazo zitatumika katika maandalizi ya wachezaji hao ambao wanatarajia kuwa na mechi dhidi ya timu ya Lesotho.
Akizungumza leo Ikulu Jijini Dar es salaam, ambapo aliwaalika wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu , viongozi wa mchezo wa mpira wa miguu pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Rais Magufuli amese...
Read More