[caption id="attachment_38652" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji Mkoani Tabora kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa huo, Novemba 21, 2018.[/caption]
Awaagiza viongozi wa mikoa nchini wabaini fursa walizonazo na wazitangaze.
Waziri Mkuu amewaagiza viongozi wote wa mikoa nchini wahakikishe wanashirikiana na makundi yote kuzibaini fursa zilipo katika maeneo yao, kuziorodhesha na kuzitangaza kwenye vyombo vya habari na majukwaa ya biashara na uwekezaji il...
Read More