[caption id="attachment_40941" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa nne kulia) akimkabidhi Mbunge wa Ludewa, Deo Ngalawa kompyuta 25 kwa ajili ya sekondari za Wilaya ya Ludewa, Njombe wakati wa ziara yake Wilayani humo. Anayeshuhudia katikati yao ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Mhandisi Albert Richard[/caption]
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amegawa kompyuta 25 kwa shule za sekondari za Wilaya ya Ludewa mkoani...
Read More