[caption id="attachment_41518" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (mwenye kilemba) akikata utepe kuashiria uwashaji rasmi wa umeme katika kijiji cha Ngazi, wilayani Lushoto, Machi 28, 2019 akiwa katika ziara ya kazi. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni, January Lugangika.[/caption]
Na Veronica Simba – Lushoto
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaonya wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuzingatia masharti yaliyowekwa na serikali hususani kutumia vifaa vya ndani ya nchi, na kw...
Read More