Na Grace Semfuko.
Wito umetolewa kwa wakazi wa Makete waishio Jijini Dar es Salaam, kuanzisha Kampuni ya Uwekezaji na Mfuko wa Maendeleo wa Wilaya hiyo utakaoangalia fursa za kiuchumi zinazopatikana Makete, Mkoani Njombe, ili kukuza pato lao na Taifa kwa ujumla.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. Geoffrey Mwambe, wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Chama cha Maendeleo Makete (MDA) uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Bwana Mwambe akasema, fursa ya kuanzisha kampuni na mfuko utawawezesh...
Read More