[caption id="attachment_45191" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akisaini kitabu cha wageni katika banda la wajasiriamali wakinamama, alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_45192" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume akipata maelezo kuhusu bidhaa za korosho kutoka moja ya makampuni ya kuzalisha korosho nchini alipotembel...
Read More