Mitambo ya kisasa iliyopo katika hospitali za hapa nchini ambapo wananchi wa mataifa jirani ikiwemo Kenya hufika na kupata huduma kama inavyoonekana katika picha.
Na Mwandishi Wetu,
Maboresho katika sekta ya afya yanayoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Tano, yamewafanya raia kutoka nchi jirani ya Kenya kumiminika nchini kwa ajili ya kupata matibabu.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation la nchini Kenya la Februari10, 2020, raia wa Kenya hasa wanaoishi Mji wa Taveta ulipo mpakani mwa Tanzania na nchi hiyo wamekuwa wamekuwa waki...
Read More