[caption id="attachment_51671" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, baada ya Kamati hiyo kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya Ubungo, jijini Dar es Salaam[/caption]
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuhakikisha inaweka ulinzi madhubuti katika miundombinu ya mrad...
Read More