[caption id="attachment_52918" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( katikati) akipata maelezo ya namna mtambo wa kuunguza gesi kwa ajili ya usalama ( haupo pichani), kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha kuchakata Gesi cha Madimba, Mhandisi Sultan Pwaga,(aliyenyoosha mkono) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu huyo ya kutembelea mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na Mtwara, Mei 30- Juni 01,2020[/caption]
Na Zuena Msuya, Mtwara
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amefanya ziara ya kut...
Read More