Adeladius Makwega, WHUSM–Dodoma.
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakishirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi za Tanzania (TPSF) wamekutana kujadili adhima na umuhimu wa kuanzisha baraza la ujuzi la sekta binafsi nchini.
Majadiliano haya yamefanyika Agosti 4, 2021 katika kikao baina ya watendaji wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na TPSF Mtumba Mji wa Kiserikali Jijini Dodoma..
Akizungumzia suala hilo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa wa Wizara hiyo, Mfaume Said amesema kuwa kuanzishwa kwa...
Read More