Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza siku ya pili ya semina kuhusu fursa zitakazopatikana kutokana na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga kwa wakuu wa mikoa na Makatibu Tawala wa mikoa minane itakayopitiwa na mradi, tarehe 28 Septemba, 2021.
Na Dorina G. Makaya & Janeth MesomapyaWaziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba, amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Nishati kuunda timu itakayojumuisha sekretarieti za mi...
Read More