Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya Mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita,leo Jijini Dodoma tarehe 13, Machi 2022.
Na Immaculate Makilika - MAELEZO
Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuhakikisha mazingira ya kazi na haki za wafanyakazi nchini yanasimamiwa ipasavyo kwa kuimarisha taasisi za kazi, kuboresha vyombo vya utoaji haki sehemu kazi.
Akizungumza leo jijini Dodoma wakati akielezea...
Read More