Na: Frank Shija
Agizo la kuhakikisha Halmashauri zote nchini zinachukua dawa za viuadudu zinazozalishwa kwa katika kiwanda cha dawa hizo kilichopo Kibaha, Pwani imeanza kutekelezwa kwa Halmashauri 14 kutakiwa kufika katika kiwanda hicho na kuchukua dawa hizo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Msemaji wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto –Idara Kuu ya Afya, Catherine Sungura, imesema kuwa Viuadudu hivyo vitaanza kugaiwa katika Halmashauri za Mikoa 14 yenye kiwango kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria...
Read More