[caption id="attachment_9115" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo[/caption]
[caption id="attachment_9106" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wataala...
Read More